fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
All the best kwakeAkiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...
Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..
Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...
Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..
Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
Ila habari za sisiemu kubaki madarakani kwa nguvu ya dola nazo zisitiwe kwenye utumishi wake uliotukuka...Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...
Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..
Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...
Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..
Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
Alilala na mama ya****k?Uyo fangasi sitaki ata kumsikia
Alikosea watanzania wote kusema CCM itatumia dola kubaki madarakani,kosa kubwa sana kwa nchiwewe nani? unaitwa nani? ni nani dunia hii? address yako?
au mkumbo tu wa kitanzania kueneza chuk
umepasiwa chuki kama mpira!!!! unatambaa nayo
Hakuna sehemu wewe bushiri kaukosea na familia yako, ukakosa mboga ya kula au bando la kuangalia insta....ila roho mbaya na chuki inaogelea kwa kufurahia baya la mwingine
ebu andika kwa sentensi mbili, Bushiri kakukosea nini?
Hivi ugumu wa kukataa kumuongezea muda upo wapi? kusema, "Rais asiongezewe muda" inahitaji ujasiri kiasi gani?Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...
Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..
Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...
Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..
Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
Ndie aliesema CCM itatumia dola/nguvu kubaki madarakaniAkiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...
Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..
Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...
Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..
Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
Bashiru hafai ilikuwa kauli yenye mchezo mchafu ndani yake, hawezi kushindana na wazee wa takaasitake ataongezewa muda kama vip alazimishwe tu anakataa anakataa kwa vipAkiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...