Tusimuliane ufupi mapenzi ya utotoni

Maji Chai

JF-Expert Member
Dec 8, 2018
246
323
Habari wana JF

Nlikuwa napata bia zangu mbili tatu baada ya kuwahi kutoka kazini leo,sijui yale yalikuwa ni wazo ya bia au zilikua akili zangu timamu.

Nmemkumbuka sana dem wangu wa darasa la tano, asee kilikuwa kitoto flan hivi kiblack beauty, kizuri hasa kiasi kwamba hadi walimu wakawa wanakitamani, nadhan mi ndo nlikuwa mtu pekee nliyekua na uwezo wa kwenda kucheza naye mpka kwao ila kosa nalojutia mpka leo ni kutomwambia nampenda na tangu wahamie nadhani Dodoma mpka leo sijawahi tena kumwona namkumbuka sana.

Au nyinyi hili la kumiss wale wapenzi wenu wa primary haiwakuti?
 
Mimi ata sijaanza shule kuna katoto kalinifundishaga tabia mbaya. Basi na mimi nikahamishia mchezo kwa katoto kengine kalikua kandugu ketu. Aisee siku tumedakwa nyuma ya nyumba tunafanya nilikula kichapo cha mbwa koko! Ila hatukukoma
 
Nikiwa darasa LA NNE kuna mdada kweny kwanya ya watoto alikuwa ananipenda sana afu mm nazingua .yy alikuwa LA saba
Na mashost zake walikuwa wanajua so kila sehem napangwa naye;
 
Nikiwa darasa la 6
Niliwah jitangazia mahusiano na kidem flan hv kinaitwa mwanaidi hakuwa Mchumba wangu Ila misifa tu ya mtaani. Dah kuna boyer flan akanichoma kwa mtoto mkali.
Yule dem alimaindi akaniitia mashost zake dah nilichambwa Sana ***** mixer kuitwa "kikaragosi kudadeki"
Na kesi aliipeleka kwa fundikila nikapew adhabu.
#nikikumbuka nacheka sana
 
Umenikumbush mbal mkuu kabla hata cjaanza shule kuna katoto flan ka kike ndo kalinifundish tabia mbaya eti anafungua tumbo lake na mimi nafungua langu tunayagusanish et ndo tumefany mapenz utoto raha jaman
 
Joyce wa MUUNGANO primary school.......kifua chako kilichojaza vyema bado nakikumbuka.
 
Nilikuwa mkimya lakin mwenye tabia za ajubu ajabu ata kabla sijaanza nursery nilikuwa nimeisha anza kula watoto na wadada wa watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom