cio vizuri kumdharau mtu bz ni mlinzi kwanza utakuta mtu mwingne ni customer care wa kampuni za simu eti unamdharau mlinzi kua analipwa hela ndogo bila kujua anakuzidi hata wewe graduate kwa mshahara.... Jua kwamba kampuni kama kk, g4s, secur.group mwenye rank ya chini analipwa 250,000-300000 ukija kwa supervisor, site commander na zone manager wamekuacha ile mbaya kwa pay so zarau haifai
supervisor, site commander na
zone manager wanalipwa sh. ?
site commander au field officer unakuta analipwa 500,000- 700,000 sasa huu si mshahara wa graduate anayeanza kazi serikalini?...tena unaweza usifike...bado hujamgusa zone manager so tuache zarau mheshimu kila mtu mahali pake anapofanyia
Wewe utakuwa mlinzi
Baby wangu
Iyo kazi ni nzuri sana iko poa xana i wish ningepata na mimi iyo kazi ningefurai sana mchagua kazi ujue kwao kuna mpunga mwingi
umeanza
Ulinzi ni proffessional wadau na ibalipa. Sema smtym inategemea unafanyia wapvhii kaz ya ulnzi. Security officer ni mlinzi kimsingi na it pays alot hivyo karibuni ktk fani