BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Shukran mkuuNenda Shinyanga kanunue pamba, upeleke kwenye mikoa isiyolima pamba,.
Duh!usije hai chuki za kisiasa utalifanya usifanikiwe
Shukran mkuu..kuna fursa huko eeh?!kahama
Nikiwa na mtaji wa mil 2-3 kahama naweza kufanya biashara gani itakayonilipa vizurikahama
Mtwara
Inakuwaje hio mkuu yan ifafanue vizuriKuna pesa chafu ya korosho
Hii kwa sasa nmesikia msimu umekwisha.Inakuwaje hio mkuu yan ifafanue vizuri