Tushikamane

Suleiman Mfua

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
62
Reaction score
64
MUHIMU:
Tofauti zetu za kisiasa hazituondolei uhalali wa kushirikiana katika maswala muhimu ya kijamii yanayotuhusu.

Kila mmoja wetu anapaswa kutambua kua umoja wetu, upendo wetu na amani ya nchi yetu ni kitu muhimu sana kuliko misimamo tuliyonayo katika taasisi zetu za kisiasa.

Tushindane kwa hoja zenye kulijenga taifa letu, na kamwe tusikubali yeyote atugawe katika misingi ya kisiasa na kuharibu umoja na mshikamano wetu!

[HASHTAG]#TanzaniaKwanza[/HASHTAG]

Mfua Suleiman
Kibaha- Pwani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…