kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Mkitukanwa mnalalamika,upuuzi huu ufutwe mara moja
Umeongea dhahaabu tupu mwanangu!Nimeona madai ya wachambuzi wengi wakishadidia kuwa yanga ina mgogoro na TFF. Binafsi nikijiuliza mgogoro huo ni upi,napata shida kidogo kuuelewa. Naomba mnisaidie.
Madai ya Yanga na mashabiki wake ni kwamba yanga inaonewa na waamuzi.
Madai haya je yana ukweli wowote?
Mi nasema katika vilabu vilivyofaidika na kubebwa na waamuzi msimu huu,yanga inaongoza.Nasikitika sana kusema hawa Watu wakisaidiwa na "takataka" zilizojaa kwenye vyombo vya habari, wameaminishwa kwamba wana wachezaji wa kiwango cha kimataifa level za club bingwa.
Wameaminishwa kuwa wanastahili ushindi wa goli nyingi na kwamba kushinda kwao goli moja ni kwa sababu TFF haiwapendi.Hiki kilio tumekisikia kwa baadhi ya wanachama.
Ndio maana hata mechi ya trh 8/5 lawama zote wamezielekeza TFF. Hakuna aliyefikiri kuwa nyuma yake kuna mkono wa mwanayanga ambaye ametumia dhamana aliyonayo serikalini kuwapa maelekezo TFF.
Halafu huku akijua kuwa timu yake itagomea mabadiliko hayo,hakuchukua maamuzi ya kuwaomba msamaha.Alikaa pembeni akifurahia jinsi mpambano unavyoendelea kati ya timu yake na TFF.
Hoja za yanga kwamba inaonewa,zinakuzwa sana na wachambuzi "takataka" waliojazana kwenye vyombo vya habari.
Je, ni kweli yanga inavyocheza inaonewa na TFF?
Kumwita binadamu mwenzio takataka ndo unajiona umefiiika?Nimeona madai ya wachambuzi wengi wakishadidia kuwa yanga ina mgogoro na TFF. Binafsi nikijiuliza mgogoro huo ni upi,napata shida kidogo kuuelewa. Naomba mnisaidie.
Madai ya Yanga na mashabiki wake ni kwamba yanga inaonewa na waamuzi.
Madai haya je yana ukweli wowote?
Mi nasema katika vilabu vilivyofaidika na kubebwa na waamuzi msimu huu,yanga inaongoza.Nasikitika sana kusema hawa Watu wakisaidiwa na "takataka" zilizojaa kwenye vyombo vya habari, wameaminishwa kwamba wana wachezaji wa kiwango cha kimataifa level za club bingwa.
Wameaminishwa kuwa wanastahili ushindi wa goli nyingi na kwamba kushinda kwao goli moja ni kwa sababu TFF haiwapendi.Hiki kilio tumekisikia kwa baadhi ya wanachama.
Ndio maana hata mechi ya trh 8/5 lawama zote wamezielekeza TFF. Hakuna aliyefikiri kuwa nyuma yake kuna mkono wa mwanayanga ambaye ametumia dhamana aliyonayo serikalini kuwapa maelekezo TFF.
Halafu huku akijua kuwa timu yake itagomea mabadiliko hayo,hakuchukua maamuzi ya kuwaomba msamaha.Alikaa pembeni akifurahia jinsi mpambano unavyoendelea kati ya timu yake na TFF.
Hoja za yanga kwamba inaonewa,zinakuzwa sana na wachambuzi "takataka" waliojazana kwenye vyombo vya habari.
Je, ni kweli yanga inavyocheza inaonewa na TFF?
Kama kila siku unalia bila sababu kwa nini usiitwe takatakaKumwita binadamu mwenzio takataka ndo unajiona umefiiika?
Kumwita binadamu mwenzio takataka ndo unajiona umefiiika?
Malalamiko kwa Yanga ni kawaida sana.
Washalalamikia makocha wao tofauti tofauti na wakawafukuzwa.
Washawalalamikia viongozi wao.
Washawalalamikia wachezaji wao.
Washawalalamikia TFF.
Washawalalamikia body ya ligi.
Washawalalamikia Simba.
Washamlalamikia Haji Manara n,k.
Ila hawajafikia hatua ya kwenda na tv kwenye kikao na waandishi wa habari kuonesha jinsi wanavyonyimwa penalti!
Bado club bingwa next seasonMalalamiko kwa Yanga ni kawaida sana.
Washalalamikia makocha wao tofauti tofauti na wakawafukuzwa.
Washawalalamikia viongozi wao.
Washawalalamikia wachezaji wao.
Washawalalamikia TFF.
Washawalalamikia body ya ligi.
Washawalalamikia Simba.
Washamlalamikia Haji Manara n,k.
Sasa mbona kila siku mathread kibao yote yaanzishwa na masimba yasiyojielewa, kwani aliyesema yanga na tff wana mgogoro ni nani kwanini msimuulize yeye awaeleze vizuri kuhusu huo mgogoro
Uongozi wa Karia umewekwa na Kiongozi mmoja mkubwa serikalini. Alipewa kazi moja. Kuikomoa Yanga. Mmemsikia Bungeni akiumauma maneno na inaelekea ndiyo aliyetoa maelekezo mechi isogezwe mbele.
Wana kawaida ya kusogeza departure time ya ATCL .
Yap,ukilalamika angalau uwe na evedance na unachokilalamikia ukionyeshe watu wakione hata kwenye tv ikibidi,lakini usiwe na malalamiko mengi ya hewani bila ushahidi.Ila hawajafikia hatua ya kwenda na tv kwenye kikao na waandishi wa habari kuonesha jinsi wanavyonyimwa penalti!
Waliofanya mechi isogezwe mbele ni wale waliokimbia uwanjani basi likienda spidi 120 kuwahi saloon ya mama Kimbo.Uongozi wa Karia umewekwa na Kiongozi mmoja mkubwa serikalini. Alipewa kazi moja. Kuikomoa Yanga. Mmemsikia Bungeni akiumauma maneno na inaelekea ndiyo aliyetoa maelekezo mechi isogezwe mbele.
Wana kawaida ya kusogeza departure time ya ATCL .
Kaa kimya hujui chochote, kuandika kwenyewe majanga.Ni kawaida mtu atukanaye hana hoja.Hanisumbui mtu wa namna hiyo.