Tusaidiane majibu wapendwa.


ulichosoma kihusucho my past life hujakosea.....ndivo ilivo am a single mom.
 
Nimekwenda mgahawani na njaa nimeshakula sasa nisubiri nini na nimeshashiba? Nilikuwa na njaa tu sikuwa na haja ya ajira.
huko kunaitwa mpito mkavu....no retreat!
 
[emoji121]
MKUU
KWANZA WEKA PICHA YA HILI TANGAZO LA DIKODA YA KONTINENTO.
We jamaa bila shaka una mwandiko mbaya sana haiwezekani kila comment uandike kwa herufi kubwa[emoji16] [emoji16] [emoji16] af unataka picha apo nimedoubt
 
ulichosoma kihusucho my past life hujakosea.....ndivo ilivo am a single mom.
Kiukweli ninavyokuona unawachukia sana wanaume. Ndiyo maana tendo hulifurahii. Unawaona wote ni sawa na yule aliyekusaliti na hufikiria hata uliyenaye ipo siku atakusaliti tu. Hata tendo hulifanya kwa hamu tu na sio kwa upendo.
Mtu ambaye ulimpenda kwa dhati akikusaliti, unaweza kuwachukia wanaume au wanawake wote na hapa mara nyingi roho ya usaliti huibuka. Hata km atatokea mtu atakaye kupenda kwa dhati huwezi kumuamini, utataka ulipe kisasi.
Naomba utulie dada yangu, wapo wanaume wenyew upendo, kuwa na mtoto haimaanishi huwezi kuolewa. Tuliza akili na pia nakuomba jifunze kusamehe. Hayo yameshapita,
Hudhuria kwenye nyumba za ibada na pia soma Bible km ww mkristo na km muslim soma Quran
 
Sio kweli kuna mademu ukiwakata unatamani kila siku urudi.kikubwa ni usafi kama demu sio msaf sehemu husika hata awe mzur VP uwa namkinai
 

hapo ni kweli coz huwa napata mzuka Wa kusuguliwa tyuuuu.After that asiniite hata jina langu
 
Sio kweli kuna mademu ukiwakata unatamani kila siku urudi.kikubwa ni usafi kama demu sio msaf sehemu husika hata awe mzur VP uwa namkinai

unawakata?????!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…