M Mansully Member Joined Jan 26, 2014 Posts 10 Reaction score 1 Jun 28, 2014 #1 Habari zenu humu ndani,naulizia mtu yeyote mwenye kujua upatikanaji wa zile ajira za kubeba mizigo Bandarini au airport ama pengine kazi za viwanda vidogo kama vya juice,biscuit au vya sabuni.Ningependa kujua kutoka kwenu kuhusu hili jambo langu.
Habari zenu humu ndani,naulizia mtu yeyote mwenye kujua upatikanaji wa zile ajira za kubeba mizigo Bandarini au airport ama pengine kazi za viwanda vidogo kama vya juice,biscuit au vya sabuni.Ningependa kujua kutoka kwenu kuhusu hili jambo langu.
T Timmy Mazimba Member Joined Jun 22, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Jun 28, 2014 #2 Usijali ndugu yangu jaribu kwenda kwa bakhresa pale tazara unaweza kupata kibarua cha kubeba maboks ya juice.
Usijali ndugu yangu jaribu kwenda kwa bakhresa pale tazara unaweza kupata kibarua cha kubeba maboks ya juice.