georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,889
Kha, hili jina litakuwa balaa na hasa hawa -TGNP na TAMWA- wataondoka na kichwa changu.Ipe hili hapa KANIITIE COMPLEX BAR (KCB).
Hili nimelihighlight huna jingine tena?Copasontex club / Pub /hotel itabamba.
Kwa jina hili tayari nina "stop order" kutoka kwa hawa jamaa wa intercontinental nairobiInterContinental Club!
contepetex hotel iko poa pia.Hili nimelihighlight huna jingine tena?
nimeongeza: Ugalimoto "nyama choma" Pub au Hot meal BBQ pubUgalimoto pub
Kwa mzee wa kijijini kulitamka hili jina contepetex- itabidi apewe semina elekezi ya mwezi mzimacontepetex hotel iko poa pia.
Kwanini mkuu..! Nimejituma kukupatia hili jina kutokana na fani yangu. Lifikirie mara mbili mkuu.Kha, hili jina litakuwa balaa na hasa hawa -TGNP na TAMWA- wataondoka na kichwa changu.
Mkuu watu wengi huwa hawajui tofauti ya Hotel, Restaurant, Food Court, Motel n.k. anyways kwa muda wako utapitia kuona tofauti zake!nimeongeza: Ugalimoto "nyama choma" Pub au Hot meal BBQ pub
Hili la kauli mbiu ya ngosha aka mwendokasi nimelichukua na nimelipa grade za juu. ThanksChagua hapa
KENZY HOTEL
Lzm nijipendeleeπ
DIAMOND HOTEL
watu watajua ni ya diamond hivyo wataishobokea!
MOON LIGHT HOTEL
DAR CITY HOTEL
ukikosa hapo iite kauli mbiu ya mkulu..πππ
We unaweza kujiaribia kwa upande wa pili(upinzani)πHili la kauli mbiu ya ngosha aka mwendokasi nimelichukua na nimelipa grade za juu. Thanks
yangu ni motel ila kwenye compound hiyo kuna bar na restaurant, nataka jina liwe unique, simple, captivating kwa mfano: escape one, landmark, pure heaven, four seasons, oriental etcMkuu watu wengi huwa hawajui tofauti ya Hotel, Restaurant, Food Court, Motel n.k. anyways kwa muda wako utapitia kuona tofauti zake!
Lakini pia kuna haja ya kujielimisha kidogo juu ya jina zuri la biashara liwe na sifa zipi, unique, simple, lisilo sahaulika, liwe na image yako, familia, taifa n.k
... fikiria aliyebuni jina la migahawa ya "McDonalds"simple as that lakini habari yake sote tunaijua...
Akiweza kututoa kwenye hii " jehenamu tuliyopo" litabambaWe unaweza kujiaribia kwa upande wa pili(upinzani)π
Kenzy? hapana-utaniburuza kwa pilato( litigation) na msingi wenyewe huu nimekopa kwa kimei ndiyo nitaingia moja kwa moja kwenye ile ratio ya 1:4.We unaweza kujiaribia kwa upande wa pili(upinzani)π