Tusaidiane jaman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusaidiane jaman

Discussion in 'JF Doctor' started by Neyjerry, Jul 17, 2012.

 1. N

  Neyjerry Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kuna a frnd of mine alilala na mwanaume wakat yupo ktk cku zake za hatar, lakn aliwah kumzuia yule mwanaume so hakupiz(hakumwaga).. Kinachomtia hofu alitakiwa ableed tar 13 na mpka leo bdo hajableed, iz it pocble she z pregnant!? Au kuna sababu gan nyngne zinazoweza fanya msichana achelewe kubleed?
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hapo tungojee Madaktari waje waseme yao ila kama akiwa ana mimba ananikumbusha methali hz
  1.Ujanja mwingi mbele kiza
  2.siku za mwizi 39 ya Arobaini amekamatwa
  3.Ndege mjanja hunasa katika tundu bovu
   
 3. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Uhakika zaidi akapime UPT, hiki kipimo ndicho kitampa majibu.
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sa kama hakumnwaga atapatje mimba?au kanywa kwenye maji?
   
 5. gody

  gody JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145  hilo swala liko mahakamani oooh no! Sory nilifkiri naangalia bunge!
  Loading.........
  Searchin..........0%
  net complete ...!!!|||
  nimekumbuka ngoja dr athibitishe!
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Inawezekana ukawa nayo au hapana.Nilishawahi kujidanganya hivyo kitu kikamea kukawa hakuna ujanja ikabidi azae. Nenda ukapime kwa uhakika zaidi.
   
 7. mwajei

  mwajei Senior Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 130
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Inawezekana alimwaga nje lkn kuna zilizobaki kama waliendelea lzm k2 kimemea.
  Anunue UPT ajipime.
   
Loading...