Tusaidiane hapa tafadhali

Hao si ndio waliopata elimu bure[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yule mkurugenzi wa kile chombo si alikuwa upande wa wananchi,l? lakini tangu alipowekewa kipande cha nyama kwenye ndoano akakimeza na sasa ameshavuliwa na kutolewa baharini.. anaweweseka.
 
Unamuhoji Mtoto asiejua hata hela ya kumtunza yeye inapatikana wapi juu ya Utawala wa Miaka 4/2 badala ya kumhoji anaemtunza huyo mtoto ambae ki msingi ndie mlipaji wa kila kitu kinachomuhusu huyo mtoto,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…