Mimi sina shida na ukubwa...the odour, big problem...
Ya tule tusabuni JS....smells a mile away.What odor roy?
Ya tule tusabuni JS....smells a mile away.
Naomba nirudie tena, hiyo avatar....
Imefanyaje avatar yangu Roya?hujaipenda nirudishe ya mkia mmh???????
Point!me nadhani hizo sabuni ndogo zimetengenezwa maalum kwa ajili hiyo ziwekwe matotelini na kwenye hizo nyumba za wageni, kwani wanadhingatia afya ya mtumiaji,
1. Unaingia hotelini ama gesti hausi unakuta sabuni imelowa majimaji utaweza kuitumia??
Hahaa...Imefanyaje avatar yangu Roya?hujaipenda nirudishe ya mkia mmh???????
Hahaa...
Infact sipendi mikia....halafu sijui leo umeipeleka wapi ile avatar infanyayo kuingia jf saa 12 asubuhi...kabla ya chochote..:tongue:
Mimi sina shida na ukubwa...the odour, big problem...
Ongea na mimi vizuri nitairudisha Roya twende PM basi.....................
Mi huwa naenda na Mbuni yangu.