Waliokuwa na mabus hakuwa Lowassa peke yake.
January Makamba alikuwa nalo, Samuel Sitta alikuwa nalo pia.
Mbona hao huwaulizii???
Yale mabus huwa yanakodishwa na zile ni just stickers zinabandikwa na baada ya kampeni unarudisha kwa wamiliki.
Ni kama ilivyo sasa kwenye kampeni za USA kuna ndege utaziona zina stickers za Donald Trump na nyingine za Hillary Clinton Zile zimekodishwa kwa kampeni na baada ya kampeni wanarudisha kwa wamiliki.
Hata helicopter aliyoanguka nayo Marehemu Filikunjombe ilikuwa imekodiwa toka Kenya na CCM na ilibandikwa stickers za CCM.
Anyway maelezo yote haya niliyokupa I doubt kama ulikuwa unayahitaji maana issue yako umeiulizia KINAFIKI zaidi kwa Lowassa tu.