Tupunguze kuzaa-Kafulila

jamaa akili ipo
 
Ni vema
 
Huo zungumzia wewe kwani wewe huna mdomo?

Tumbili family planning ni suala binafsi na ni hiyari huna mamlaka ya kuwapangia watu wazae au wasizae .

Ila ufisadi ni jukumu la kila mtu kuukemea , maana ufisadi husababisha kupungua kwa rasilimali za nchi hilo ni jukumu la kila mtu kukemea.

Sasa kwakua unalambishwa asali na mafisadi huwezi kuliona hilo unaingilia mambo binafsi na kuacha kujadili mambo ya jumla.
 
Sasa wewe una watoto wangapi?
 
Bila ubishi
 
Siwezi mpinga Kafulila mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…