Tupunguze kuzaa-Kafulila

Huyu KIAZI anachowaza ni GDP tu.

Kwamba watu wawe wachache ili GDP per Capita iwe KUBWA.

Badala ya kupambania kuboresha maisha ya watu, liko busy na upumbavu wa namba za kufurahisha wafadhili.

Watu wazae watoto wanaoweza kuwahudumia, na siyo kufurahisha namba za GDP per Capita.

Hili ni TAAHIRA.
 
How TAAHRA
 
How TAAHRA
Borehs maisha yaa watu
  • Elimu
  • Afya
  • Barabara
  • Maji
  • Umeme
  • Makazi

Siyo kukaza fuvu kama.m taahira, eti watu wapungue ili tuwe na GDP per Capita kubwa tujisifie, wakati watu wanaiamshi mbavu za mbwa
 
Borehs maisha yaa watu
  • Elimu
  • Afya
  • Barabara
  • Maji
  • Umeme
  • Makazi

Siyo kukaza fuvu kama.m taahira, eti watu wapungue ili tuwe na GDP per Capita kubwa tujisifie, wakati watu wanaiamshi mbavu za mbwa
Sawa sawa
 
Duuuh
 
YY kawa nani mpaka atupangie tusizae sana wakati Mungu katoa amri tukazaane tuijaze dunia yy km ndoa ilimshinda anakuja kutupa ushauri.Mtu anae kusanya kusanya vihabari visivyo na mashiko na kuvileta kwetu ni mpuuzi tu...Ww angalia nchi km Japan imekua na ghost town kibao kwa sababu ya kuzaa katoto kamoja ama viwili sasa wana upungufu wa nguvu kazi...au watu
 
Duuuh
 
Akili ipo
 
Hakika kila mtu na azae watoto anaowamudu.
 
hii mada ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…