Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Ngoja nipanguse macho yako nikutazame vizuri. Karibu sana nyumbani Kabakabana.Ulipotea mno muda mrefu kiasi hata id zetu na avatar zimechoka na kubadilika. Avatar yangu ya sasa huijui pia id yangu imebadilika from hygeia -SHIEKA. So happy to see you back. Natumaini hata Erotica atarudi soon.Nawasalimu wote. Nimewamiss na ninawapenda sana ni mambo mengi tu nayafanya kwa sasa katika ujenzi wa taifa letu
Ngoja nipanguse macho yako nikutazame vizuri. Karibu sana nyumbani Kabakabana.Ulipotea mno muda mrefu kiasi hata id zetu na avatar zimechoka na kubadilika. Avatar yangu ya sasa huijui pia id yangu imebadilika from hygeia -SHIEKA. So happy to see you back. Natumaini hata Erotica atarudi soon.
Kabakabana mambo aje aje
Sasa pasaka wapi tuzungumze mawili matatu tukiteremshia na heinneken?Wow jamani kumbe its uuuuu miss u lods jamani
Saafi tu za kwako wewe?
Mi nimekumisi mpaka nakojoa kitandani.Nawasalimu wote. Nimewamiss na ninawapenda sana ni mambo mengi tu nayafanya kwa sasa katika ujenzi wa taifa letu
Swadakta...heri ya mwaka mpya na kabla hujapotea tena ngoja nikuwahi na heri ya pasaka...hahah
We nipotezee tu lakini najua pa kukupata.Hujaachaga tu uhuni babu?