Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Masau bwire wakati anafundisha shule ya msingi Gilman Rutihinda. Alikuwa mkuda sana.
 
Sir Maulid alikua anawachapa mkiwa uchi?


Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
NJANGA,KANTALAMBA S.S,alikuwa second master,alikuwa na machale balaa,kila mkibuni njia mpya ya kutorokea anawabamba kiulainii,dah,chanji ndo kijiwe chake ilhali wanafunzi ndo wanaponea!
We usinikumbushe huyu mtu, uko kidedi bondeni yeye yuko kwenye lami anakutambua
 
lile bifu sisi tulikuwa washiriki/wahanga wakuu ndio tumetia timu. ilikua ikiwa mechi ya kandanda kati ya mara na alliance ilikua haiishi salama
 
Hakuna shule yenye walimu wakali kama jitegemee wakikushindwa wanakusakizia wanajeshi ambao ndio kama walezi na wenye shule. Wengi mmeongea lakini hakuna shule inayogusa pale kwa walimu na walezi wakali.
 
Yani kumbe nawe ni mara sec product
..
Sisi tulikuwa na mkuda mmoja anaitwa mongate..alikuwa shida sana..tulishaandamana kwa ajili Yake hadi kwa mkuu Wa mkoa wapi..alituwinda hakuna mfano ..dawa Yake sasa tukawa hatutoroki mchana Bali usiku kuanzia SAA sita..lakini wapi unaweza kutana nae
 
mkuu huyo morega ni shidaaaaa ndanda boys mbona tulikomaaa....bahati nzuri amehamishiwa pale c tunaingia form6...xo tulienda nae kibishi...!

kwa maoni yangu huyu jamaaa ndo raisi wa walimu wanoko Tanzania
Mara sec tuliminda sana..lakini wapi kama jini. Kuna siku masela wakatega waya nyeusi huku kwenye njia ya nyuma ya mabweni.wakivizia akirudi usiku waya umfanyie mambo..maajabu watu wamekaa hadi SAA NNE wanashangaa anatokea Barbara ya uwanjani..kijana walichoka aisee
 
Mimi pia nilipita huko mkuu enzi za mwalimu Salvatory Magessa a.k.a DINGI.


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kijazi Tanga Technical School,siwezi msahau huyu ikiwezekana akitokea mbele yangu nampanda na tairi aisee....
Mkuu ulikuwaa umewekezaa kwa njeka nini?....maana ugomvi wake mkubwa ulikuwa kwa vidume vyenye tripu zisizoisha za kijijini kwake njekani baada ya kuwatia mimba wadogo zake na ndugu zake kibao...Aisee kama na wewe ni mmoja wao tafadhali kachukuee mtoto wako usomeshe kabla hajaishia kuwa mvuvi....
 
Ha ha ha ha ha a a a a mkuu emenichekesha sana,kumbe kuna mwenzangu wa mambo ya Kwanjeka na Mkwakwani.Me nilikuwa Faru House.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…