uungwana ni vitendo,,,,,upendo ni kitu chema tena chenye thamani ,,,,,,,,,,,,mlioorodheshwa rudisheni mioyo yenu tuishi kama zamani,,,,,,****one love********Wakuu!
habarini za mida hii?
Kwa moyo wa ukunjufu kabisa..
Naombeni tuwe na umoja na upendo tena uzidi ule wa mwanzo..
Tofauti zetu tuzitupe kule..
Tuliowakwaza kwa njia yoyote ile twaombeni mtusamehe..
Mliotukwaza tayari tumeshasamehe..
Much love to you all!
From Kiwatengu & shansarie family..
CC: Arushaone, Lady doctor, watu8, 24hrs, figganigga, Mzee, Madame B, Heaven on Earth, manyasi, Mamndenyi, Baba V, Filipo, Erickb52, Chocs, Passion Lady, ladyfurahia, Judgement, Asprin, Dark City, charminglady, Fixed Point, PakaJimmy, MMAHE, KOKUTONA, Arabela, farkhina, mwungwana, chama, kerucee, black woman, Smile
rudisha moyo shemeji mungu anataka tusameheane sio siri upande wao ulikuwa na watu wenye chuki na dhalii lakini uchaguzi umeisha tusameheane shemeji mie uchungu na hasira yangu yote nimeuyeyusha kwa barafu akhaaa kiroho safi rudisha moyo shemeji yangu mpenzi ,,,,,mwaaaaah,,,,pokea kisss langu,,,,hug,,,,na hivi na vileKuna member upande wenu alinitolea kauli ambayo sikuipenda.
Nitamchukia daima.
​tugange yajayo,,,,,,mwaaaahyaliyopita si ndwele
Kuna member upande wenu alinitolea kauli ambayo sikuipenda.
Nitamchukia daima.
​labda unisaidie maaana duh sijui aliudhiwa nini walaishoga angu we si huwa unasisitiza kumaliza mambo jaman
​labda unisaidie maaana duh sijui aliudhiwa nini walai
sijui kwanini jaman au pambano limebatilishwaa,,,,,,,,,,,?mie poa na hakuna matata kabisaaaa.leo naamka nakuta vitu vyote deleted.....
labda ngoja nimuulize eti shemeji Madame B ulitakiwa maneno gani dhalili???,,,,,,,,halafu dia Heaven on Earth hv ulichopaka hapo jichoni ni nini basi kuna siku nilizidiwa hadi nikayalamba hayo macho walai kumbe duh nikajishtuka nalamba screen ya laptop walai ;;;lol;;;;najua basi..labda we shemeji mtu ataweza kukwambiaa
mwungwana mi sijui nachojua shindani lilikuwa halalisijui kwanini jaman au pambano limebatilishwaa,,,,,,,,,,,?
Kuna member upande wenu alinitolea kauli ambayo sikuipenda.
Nitamchukia daima.