Waarabu ni watu. Waliumbwa na Mwenyezi Mungu kama walivyoumbwa binadamu wengine.Ikiwa wewe unajiona bora basi. Kaa na kiburi chako. Ukubwa wa kibri ni ukubwa wa upotefu.
Wako watakao sema Wa afrika si watu. Watu watakao sema Wazungu si watu. Hakuna mwisho.
Mbora katika watu ni yule anayemcha Mwenyezi Mungu si rangi si taifa si mali.
Hao walioua waliopotea wamekiuka Amri ya Mwenyezi Mungu. Katika kitabu chake aya iko wazi " Atakayeua mtu bila hatia/haki ni kama kaua dunia nzima.Atakayeokoa uhai mmoja ni sawa na kuokoa dunia.