Mh! Tunduru?
Kwa nijuavyo hakuna sehemu ngumu kama Tunduru kwa mabadiliko ya kisiasa.
CUF ndicho chama pekee cha upinzani chenye nguvu.
CHADEMA wana diwani mmoja tu. Bwana Kazembe wa kata ya LIGUNGA.
Lakini wana mtaji tayari, kwani ktk kata ile CHADEMA imeigalagaza CCM na CUF mihula mitatu ya uchaguzi mfululizo.
Naifahamu Tunduru kiasi nimewahi kufanya kazi kule miaka ya 2004-2007.