Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
Siasa zimekutoa utu kabisa.asije na mshahara wamekata ahhahahah.nilijua baada ya chambichambi kuisha atageuka.chezea kulala bwenini ughaibuni
Zimemtoa na akiliSiasa zimekutoa utu kabisa.
Nabii LissuLissu ni Mussa wa Tanzania.
Usilizalilishe jina la Mussa kwa kulilinganisha na mtu kituko.Lissu ni Mussa wa Tanzania.
Lissu ana huruma sana na binadamu wenzake jamani !Hakika huyu jamaa ni mteule wa Mungu. Ona inafika mahali anatahadharisha kuwa akimtaja huyu aliyemuona (ambaye nadhani ni DAB ) watamuua bure naye hataki maisha yapotezwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amekupa maarifa yatumie , hizo elfu 7 unazolipwa hazitokusaidia chochote
That will never happen under jiwe’s government .Lissu's homecoming need be declared a public holiday.This man deserves nothing less.
Jisitiri walau kidogo ndugu..asije na mshahara wamekata ahhahahah.nilijua baada ya chambichambi kuisha atageuka.chezea kulala bwenini ughaibuni
Hata Mussa waMisri walimuona kituko maana alimtwanga magumi MTU na kumuua kisha limfukia kwenye mchanga
Tunaomuelewa ni wengi mno, wachache wasiomuelewa pia wapo ingawa wao pia ni kwa maslahi binafsi.Tupo wachache tunaomuelewa Lissu
Paaza sauti usikike
Ukombozi unakaribia