Ila huyu ni mwanaume, sikutarajia angemuangusha Mwamba. Aisee sasa naamini hata NEC wakiweka uchaguzi huru na haki huyu mama anaangushwa asubuhi tu.
Huu ni wakati wa kusuka coalition nzito sana na kila ambaye hakubaliani na utawala wa Samia. October kampeni zitakua ngumu sana kwa CCM na watapoteana kabisa, ni muhimu tupiganie reforms ili tumalizane na CCM once and for all