Tunawapenda sana wanawake ..

BongeMwepesi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
125
Reaction score
83
Pamoja na matatizo yenu yote,tunawapenda sababu mu warembo na mnakonga mioyo yetu na ni furaha zetu,mnajua kutucare sana ,hata tukiwakosea mara zote mmekuwa wakwanza kutusamehe,kwa kweli nyie ni maua ambayo kama isemavyo nyumba bila mwanamke basi sio nyumba.basi mjitahidi kubehave basi lol.
 
hayajakupata wewe, just wait ujionee usiyoyajua
 

Unawazungumzia wanawake gani?
 

bora hata weye unatupromoti cyo wengine matusi juu eti hatuwezi kunako 6 kw 6 loh!
 
kila binadamu ana mapungufu na maongeo yake so kama mnatupenda basi nasi tunawapenda zaid manake tunajua mwanaume ndiye anayekamilisha utimilifu wetu, pasi nyie heshima tuzipatazo zisingekuwepo, mmetukaribisha kwenye maisha yenu, mkakubali kuwa na full responsibility juu yetu, mnatulinda, mnatupenda na kutujali zaid ya yote mu viongozi wetu
 
asante sana kwa heshima hiyo uliyotupa kweli wewe ni baba bora. endelea kupata bless tele na tele ni wachache tu wanaojua thamani ya akina mama au wake zao.
 
Ahsante kwa heshima hii. At least weekend itaenda vzr baada ya kunangwa wiki nzima lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…