Ulichosema ni kweli kabisa, Elimu ni kila kitu. Nimejaibu kufuatilia project za hawa jamaa kwa sasa kila kitu wanatengeneza kwao. Hivo hata vikwazo ukiwawekea huwa havisaidii chochote, mana kila kitu wanacho na soko lao kubwa ni la ndani sema kwa sasa naona wanataka anza kutoka nje ya soko lao la ndani. Kiukweli wako vizuri sana kwa sasaYakov Kedmi moja wa majasusi waandamizi wa Israel aliyezaliwa Urusi ya Kisovieti anasema hivi "Nguvu kubwa ya Urusi siku zote imekuwa ni kuweka mkazo mkubwa sana kwenye Elimu" akasisitiza kwamba bila Urusi ya Kisovieti kusomesha sana watu wake basi Urusi ya leo hii ingekuwa imeshasambaratika muda sana na kubakia historia.
NB: Mpaka leo hii nchi ina wanasayansi (World Class) zaidi ya Milioni moja na rasilimali nyingi vile hivi unategemea nini hapo aisee ?? Hata Tanzania leo mkaamua kuwaweka kapuni hawa wanasaiasa Uchwara mbona mtafanya makubwa sana hadi dunia itakuna kichwa, tena na rasilimali mlizonazo ndiyo kabisaaaa "Only the Sky is the Limit"
This man is very smart
Vikwazo vinawaumiza na wala huwezi kutegemea soko la ndani peke yake kwasababu kipindi hivi Uchumi wa dunia umefungamana sana. Japo sasa unapokuwa na nchi inayojitegemea kwa sehemu kubwa ni kwamba kuna baadhi ya mambo hata wakiwekee vikwazo utayaruka tu hata kama kwa taratibu.Ulichosema ni kweli kabisa, Elimu ni kila kitu. Nimejaibu kufuatilia project za hawa jamaa kwa sasa kila kitu wanatengeneza kwao. Hivo hata vikwazo ukiwawekea huwa havisaidii chochote, mana kila kitu wanacho na soko lao kubwa ni la ndani sema kwa sasa naona wanataka anza kutoka nje ya soko lao la ndani. Kiukweli wako vizuri sana kwa sasa