Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 5, 2022 #1 Trust Solution Company ltd,Tunatoa huduma ya uuzaji wa viwanja kwa size ya square meter Kigamboni Buyuni na mwembe mdogo kwa bei nafuu na unaweza kulipia kwa awamu. Nicheki kwa no 0620801183 Nikuhudumie Au tuwasiliane Pm kwa maelezo zaidi
Trust Solution Company ltd,Tunatoa huduma ya uuzaji wa viwanja kwa size ya square meter Kigamboni Buyuni na mwembe mdogo kwa bei nafuu na unaweza kulipia kwa awamu. Nicheki kwa no 0620801183 Nikuhudumie Au tuwasiliane Pm kwa maelezo zaidi
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Apr 5, 2022 #2 Kiongozi weka hapa ramani yenye viwanja watu wachague maeneo.
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 5, 2022 Thread starter #3 The Monk said: Kiongozi weka hapa ramani yenye viwanja watu wachague maeneo. Click to expand... Hivyo apo mzee ,vilivyopigwa tick tayari vishauzwa
The Monk said: Kiongozi weka hapa ramani yenye viwanja watu wachague maeneo. Click to expand... Hivyo apo mzee ,vilivyopigwa tick tayari vishauzwa
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Apr 5, 2022 #4 Marcel 12 said: View attachment 2176530 View attachment 2176531 Hivyo apo mzee ,vilivyopigwa tick tayari vishauzwa Click to expand... Hapo tushindwe sisi tu
Marcel 12 said: View attachment 2176530 View attachment 2176531 Hivyo apo mzee ,vilivyopigwa tick tayari vishauzwa Click to expand... Hapo tushindwe sisi tu
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 5, 2022 Thread starter #5 The Monk said: Hapo tushindwe sisi tu Click to expand... tuungishe ndugu yangu watoto waende chooni
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Apr 5, 2022 #6 Marcel 12 said: tuungishe ndugu yangu watoto waende chooni Click to expand... Ndio narefusha kamba kidogo hapa tufanye biashara mkuu
Marcel 12 said: tuungishe ndugu yangu watoto waende chooni Click to expand... Ndio narefusha kamba kidogo hapa tufanye biashara mkuu
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Apr 5, 2022 #7 Marcel 12 said: Trust Solution Company ltd,Tunatoa huduma ya uuzaji wa viwanja kwa size ya square meter Kigamboni Buyuni na mwembe mdogo kwa bei nafuu na unaweza kulipia kwa awamu. Nicheki kwa no 0620801183 Nikuhudumie Au tuwasiliane Pm kwa maelezo zaidiView attachment 2176514 View attachment 2176515 View attachment 2176516 View attachment 2176517 Click to expand... Umbali gani toka ferry?
Marcel 12 said: Trust Solution Company ltd,Tunatoa huduma ya uuzaji wa viwanja kwa size ya square meter Kigamboni Buyuni na mwembe mdogo kwa bei nafuu na unaweza kulipia kwa awamu. Nicheki kwa no 0620801183 Nikuhudumie Au tuwasiliane Pm kwa maelezo zaidiView attachment 2176514 View attachment 2176515 View attachment 2176516 View attachment 2176517 Click to expand... Umbali gani toka ferry?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,078 Reaction score 185,371 Apr 5, 2022 #8 Ahsante kwa taarifa...
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 5, 2022 Thread starter #9 mzabzab said: Umbali gani toka ferry? Click to expand... Kaka ni Km 1 kutoka barabara kuu ya ferry na km 2 kutoka ufukweni
mzabzab said: Umbali gani toka ferry? Click to expand... Kaka ni Km 1 kutoka barabara kuu ya ferry na km 2 kutoka ufukweni
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Apr 5, 2022 #10 Marcel 12 said: Kaka ni Km 1 kutoka barabara kuu ya ferry na km 2 kutoka ufukweni Click to expand... Nimeelewa hiyo part mie nataka kujua distance ya kutoka ferry na sio barabara kuu ya ferry
Marcel 12 said: Kaka ni Km 1 kutoka barabara kuu ya ferry na km 2 kutoka ufukweni Click to expand... Nimeelewa hiyo part mie nataka kujua distance ya kutoka ferry na sio barabara kuu ya ferry
speech JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 506 Reaction score 1,324 Apr 5, 2022 #11 Na vya mwembe mdogo ni sh.ngapi ?? Naona hapo umeweka vya buyuni tu
Kamanda wa Kweli JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 1,448 Reaction score 846 Apr 5, 2022 #12 Mwembe mdogo bei zipoje? Maana naona Bei za Buyuni tu
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 6, 2022 Thread starter #13 speech said: Na vya mwembe mdogo ni sh.ngapi ?? Naona hapo umeweka vya buyuni tu Click to expand... Mwembe mdogo bei ni 4,000,000 nmepost ya kwanza kabsa apo juu
speech said: Na vya mwembe mdogo ni sh.ngapi ?? Naona hapo umeweka vya buyuni tu Click to expand... Mwembe mdogo bei ni 4,000,000 nmepost ya kwanza kabsa apo juu
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 6, 2022 Thread starter #14 Marcel 12 said: Mwembe mdogo bei ni 4,000,000 nmepost ya kwanza kabsa apo juu Click to expand... Bei 4,000,000 boss nmepost apo juu picha yake
Marcel 12 said: Mwembe mdogo bei ni 4,000,000 nmepost ya kwanza kabsa apo juu Click to expand... Bei 4,000,000 boss nmepost apo juu picha yake
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 6, 2022 Thread starter #15 mzabzab said: Nimeelewa hiyo part mie nataka kujua distance ya kutoka ferry na sio barabara kuu ya ferry Click to expand... 89km kutoka ferry to buyuni
mzabzab said: Nimeelewa hiyo part mie nataka kujua distance ya kutoka ferry na sio barabara kuu ya ferry Click to expand... 89km kutoka ferry to buyuni
speech JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 506 Reaction score 1,324 Apr 6, 2022 #16 Sasa mil 4 kinaukubwa gani ??? Toa maelezo yanayo jitosheleza kama ulivyotoa vya buyuni Marcel 12 said: Bei 4,000,000 boss nmepost apo juu picha yake Click to expand...
Sasa mil 4 kinaukubwa gani ??? Toa maelezo yanayo jitosheleza kama ulivyotoa vya buyuni Marcel 12 said: Bei 4,000,000 boss nmepost apo juu picha yake Click to expand...
K Kajeba JF-Expert Member Joined Oct 15, 2020 Posts 1,126 Reaction score 2,532 Apr 6, 2022 #17 huko shamba ndio be hii Marcel 12 said: 89km kutoka ferry to buyuni Click to expand...
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 6, 2022 Thread starter #18 speech said: Sasa mil 4 kinaukubwa gani ??? Toa maelezo yanayo jitosheleza kama ulivyotoa vya buyuni Click to expand... Square meter hizo na bei yake kwa kila size
speech said: Sasa mil 4 kinaukubwa gani ??? Toa maelezo yanayo jitosheleza kama ulivyotoa vya buyuni Click to expand... Square meter hizo na bei yake kwa kila size
Marcel 12 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2022 Posts 484 Reaction score 698 Apr 6, 2022 Thread starter #19 Kamanda wa Kweli said: Mwembe mdogo bei zipoje? Maana naona Bei za Buyuni tu Click to expand... Bei ni million 4 vya mwembe mdogo
Kamanda wa Kweli said: Mwembe mdogo bei zipoje? Maana naona Bei za Buyuni tu Click to expand... Bei ni million 4 vya mwembe mdogo
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Apr 7, 2022 #20 Marcel 12 said: Bei ni million 4 vya mwembe mdogo Click to expand... Mwembe mdogo ni umbali gani from Ferry ? Vina installments?
Marcel 12 said: Bei ni million 4 vya mwembe mdogo Click to expand... Mwembe mdogo ni umbali gani from Ferry ? Vina installments?