Ngoja Nikusaidie kazi
Arizona real estate company limited
Tunapenda kuwatangazia kwamba tunauza viwanja Kisongo - Arusha.
Kuna huduma zote za kijamii
Kama maji ,umeme,shule na huduma ya afya.
Maeneo viwanja vilipo kisongo.
Kuna viwanja vilivyopo karibu na kanisa la channel .
Kisongo mateves karibu na A to Z
Pia tunakopesha viwanja naunaruhusiwa kulipa kidogo kidogo.
Wasiliana nasi kwa hizi namba
0763999562
VIWANJA TUNAVYOVIUZA
1.Kwa kisongo mpya ambapo viwanja vyetu vipo kanisa la channel hivi
Na kiwanja kinauzwa sq 1= M 17,500
Sq 20 kwa 20 ml 7
Hivi viwanja vimepimwa
2.Kisongo -mateves vipo karibu na A to Z kata ya ngorobo .
Kiwanja kinauzwa Sq 1 = M11,250
Sq 20 kwa 20 = ml 4,500,000
hivi viwanja havijapimwa
3.Kisongo - kilometer moja baada ya barabara ya Africa Mashariki.
Kiwanja kinauzwa Sq 1 =M4500
Sq 20 kwa 20 = 1800000
hivi viwanja havijapimwa
4.ngurdoto project ni km 4 kutoka barabara kubwa ya Arusha to Moshi.
Ukubwa wa shamba ni heka moja na robo ambapo shamba lote linauzwa sh ml 47 .
Halijapimwa shamba lipo karibia na chuo cha arusha .
5.St magreth kisongo ni kilometa 2 toka shule ya st magreth
Sq 1 = ml 6000
Sq 20 kwa 20 =2,400,000
Jinsi ya malipo
Viwanja vyetu vya mikopo
Havina riba
Hakuna dhamana
Malipi ni ya awamu au cash
Instalment - kidogo -kidogo
Tunaanza na asilimia 75 na kumalizia asilimia 25 ndani ya miezi mitatu au siku 90.