Mkuu Mb-one
weka uzuri wa uyoga tufanyie kazi!
wanajamvi,tunauza uyoga kwa yeyote anayehitaji,tunaweza kukupatia kilo kumi(10kg)kila siku,in good packaging of 0.5kg and 1kg,ni fresh oyster mushroom,ni mzuri mweupe wa kuvutia,pia uyoga ni mzuri kwa afya yako,for buyers ni pm or unaweza tuma email kwa tzmushroom@gmail.com
{http://www.livestrong.com/article/348755-oyster-mushroom-health-benefits/}
Ukitaka ufaudu uyoga upike halafu tupia tui la karanga,utatukana kitimoto!mkuu uyoga ina vitamins za kutosha,pia inaongeza CD-4,ni nzuri kwa wagonjwa wa ukimwi,high blood pressure,kisukari,na pia ina madini ya kutosha kwa ajili ya mwili wako,pia ina ladha nzuri mfano wa nyama,au maini,supu yake ni tamu kupita maelezo,pia ni rahisi kupika,haiitaji ustadi mkubwa kwenye upikaji,
bei ni 10000/= per 1kg,na 5000/= per 0.5kg
kilo ngapi unahitaji?