Tunauza sola za kisasa

Tunauza sola za kisasa

kinumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
1,027
Reaction score
748
Kwa wanaoitaji sola za kisasa tuwasiliane
1472884176962.jpg
1472884195503.jpg
1472884217818.jpg
1472884243735.jpg
1472884243735.jpg

Tuwasiliane kwa Namba
0718574545
0766441447
Email's lesenimadini@gmail.com
ephoclimited@gmail.com
 
Maelezo naona kama hayajitosheleza, ama mimi sikuelewa, umesema solar ya kisasa, hujaanisha kinachotofauti hiyo solar yako na solar zingine, mpaka ionekane ya kisasa, na kigezo cha ukisasa, ni pamoja kuwa rahisi zaidi kwenye matumizi. Pia hujaweka bei, msawishi kwanza mteja kwa kuelezea bidhaa yako, bei yake ndipo mtu asiweshike kukutafuta kwa simu, biashara haijielezi vizuri, mteja ataona bora aende kariakoo akatafute mwenyewe na ajibembeleze apunguziwe bei, ni ushauri tu, vinginevyo nikuuombe biashara njema yenye mafanikio.
 
Asante mkuu ukisasa wa hizi solar utumii betr wala waya unachotakiwa kufanya ni kuweka maji kisha kuunganisha Ndani kwako unaanza kupata maji ya moto tank zake zinachua lita 150 na ndogo 50 kwamaelezo zaidi unaweza PM Namba yako tukaongea zaidi
 
In additional to that hizi solar water heater sio za kufua umeme wa kutumia, ila ni special kwa kupata maji ya moto kwenye nyumba za biashara na some domestic houses zenye mahitaji ya kiasi kikubwa cha maji ya moto! It contains 150ltr tank na 50ltr cold tank on the same pannel! Unaiweka popote na unaaza kupata maji moto!
 
Mkuu naweza kupata solar water heater na je tank la lita 150 au 200 ni Tshs ngapi
Shukrani nikipata maelezo ya kina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom