Hio Brandi inaitwa polo, ni kadeti Original, first quality, haipauki Wala kuchuja Kuna size 30- 40 karibu sana,..nicheki 0744575261
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijadanganya ndugu, kadeti zipo za ubora tofauti kulingana na Bei yake,..nasisitiza ishu sio jina la kadeti kwamba ni polo, exposed, millionaire, Zara, camel etc...ishu ni io brand au kadeti husika ni ya Bei gani??? Hata izo exposed zipo zinazopauka that means ni ya Bei ndogo ..sisi wauzaji tunapoenda chimbo tunakutana na kadeti grade 4 tofauti Kila moja Ina Bei yake( sitataja) Apo inategemea aliyekuuzia alinunua daraja 1, 2, 3 au la 4..ishu sio brand, ishu ni material ya kadetiSawa ila usiongee uongo sasa kwamba unazo ambazo hazipauki
Kuwa mkweli tuu wala Sio lazima uandike unazo ambazo hazipauki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko cadet pia
Ukifika kariakoo mtaa wa aggrey na kongo, ulizia Colombia hotel, ntakufuata hapoDuka linaitwaje nije nichukue Exposed hata moja nizione jamaa kazisifia sanaLp
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mimi sio mfanyabiashara mkuu. Ungesoma uzi toka mwanzo ungeelewa ndugu yangu.Bei Sana hiyo mkuu kumbuka Wewe una nunua elfu 9au 10 Bei ya Jumla unatupiga Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Paul smith anajitahidi kiasi chake.Mkuu umemtaja Paul Smith hapo huyo jamaa anachelewa kupauka sana. Nadhani hata Polo hamfikii. Nataka kununua tena Paul Smith lakini kila nikitafuta nakutana na Polo na ikizidi sana Billion sijui.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mkuu nakuhakikishia 100%, Paul Smith hasogei. Exposed wako vizuri sana. Toka nianze kuvaa kadeti hawa jamaa nimewakubali. Labda wafanyabiashara wachakachue.So una maanisha Exposed hata Paul Smith hakamati kwa kuchelewa kupauka?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Fresh ngoja nitacheki hiyo ExposedMkuu nakuhakikishia 100%, Paul Smith hasogei. Exposed wako vizuri sana. Toka nianze kuvaa kadeti hawa jamaa nimewakubali. Labda wafanyabiashara wachakachue.
Nakushauri nunua 1 ujaribu halafu utakuja kusema.
Ok sawaMimi sio mfanyabiashara mkuu. Ungesoma uzi toka mwanzo ungeelewa ndugu yangu.
Ulinunua wapi mkuu? Bei?Ndio ninazo mkuu. Ndio navaa hadi leo. Mimi sio mfanyabiashara.