poa nakutafuta nijionee. Ikiwa ukanjanja tena Mungu atakulaani.😀Mimi mwenyewe nlishauza kadeti ambazo sio za ubora Sana, baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wateja, nmebadili Aina ya bidhaa zangu, Sasa kadeti hizi na uhakika ni quality nzuri Sana, usishangazwe na Bei hii ukadhani kuwa zitakuwa ni zile zile za siku zote, ni kwamba nafanya hivi ili kupanua soko langu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote zinapauka ila zipo ambazo zinavumulia na kuchukua muda mrefu kupauka. Mimi nimevaa Jeep, Diesel, Paul smith, E spirit n.k. zote ni yale yale. Hata ufulie maji ya baridi.Kama hujui kitu nibora ukakaa kimya, hakuna kadeti ambayo haipauki... Tena hapa town na maji ya chumvi ndo balaaa ukijifanya unafua fua tuu imekwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote zinapauka ila zipo ambazo zinavumulia na kuchukua muda mrefu kupauka. Mimi nimevaa Jeep, Diesel, Paul smith, E spirit n.k. zote ni yale yale. Hata ufulie maji ya baridi.
Nafulia sabuni ya kipande kwa kugeuza nje ndani ila wapi.
Kuna jamaa yangu niligundua zake hazipauki hata kidogo. Ni Exposed. Toka na mimi nizinunue Januari hadi leo ziko vile vile (labda kupauka iwe kwa mbaaaali sana). Labda na wao walewe sifa au wabongo wagonge copy.
Binafsi sijui kuhusu Polo za jamaa yetu labda nazo zaweza kuwa hazipauki haraka.
Ndio ninazo mkuu. Ndio navaa hadi leo. Mimi sio mfanyabiashara.Mkuu hizo Exposed unazo?

LpTupo Kariakoo Mtaa wa Kongo na Aggrey.
Tunauza mashati ya kiume mikono mirefu na mifupi, Tisheti za form six, body, kadeti.
Bei zetu ni nafuu sana. Pi,a ukinunua kwa wingi utauziwa kwa bei ya jumla.
Karibuni dukani, pia mikoani tunatuma mzigo bila shida yoyote.
Shati mikono mirefu = 17,000
Shati mikono mifupi =16,000
Tisheti form six = 16,000
Tisheti body = 13,000
Kadeti = 22,000
Tupigie au WhatsApp kwa namba hizi: 0744575261
View attachment 1299070View attachment 1299072View attachment 1299073View attachment 1299075View attachment 1299077View attachment 1299078View attachment 1299079View attachment 1299080View attachment 1299082View attachment 1299083View attachment 1299084View attachment 1299085View attachment 1299086View attachment 1299081View attachment 1299074
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani izoZote zinapauka ila zipo ambazo zinavumulia na kuchukua muda mrefu kupauka. Mimi nimevaa Jeep, Diesel, Paul smith, E spirit n.k. zote ni yale yale. Hata ufulie maji ya baridi.
Nafulia sabuni ya kipande kwa kugeuza nje ndani ila wapi.
Kuna jamaa yangu niligundua zake hazipauki hata kidogo. Ni Exposed. Toka na mimi nizinunue Januari hadi leo ziko vile vile (labda kupauka iwe kwa mbaaaali sana). Labda na wao walewe sifa au wabongo wagonge copy.
Binafsi sijui kuhusu Polo za jamaa yetu labda nazo zaweza kuwa hazipauki haraka.
Ni 25,000 mkuu.Bei gani izo
Sikutaka kuharibu biashara ya mwenye uzi kwa kuelezea brand ambayo pengine yeye hana but hata hivi nimeshaeleza hapa nilichomueleza jamaa PM baada ya kuona imeshakuwa mjadala.
Wakati Niko la kwanza,niliwahi kusoma kitabu Cha wachina,Cha kiswahili lakini,ukitaka isipauke,dondoshea maji la limao wakati unafuaKwa kiasi Fulani upo sahihi boss hata mm nimevaa Sana kadeti zinazopauka, kupauka au kutopauka inategemea na kadeti husika ilijumuliwa kwa Bei gani,..najua ni ngumu kuamini Ila zipo kadeti ambazo hazipauki kabisa Bei yake ipo juu wengi huwa hatupo tayari kuilipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeniambia zamani ningekupa solution,unapofua mwagiamo vinegar kiasi,haitapauka kwa uharaka huosure, yaani nimenunua kadeti kila design mpaka nikawa najiuliza nakosea wapi yaani ukifua mara 3 au 4 tayari.
Bei gani mkuu zinauzwa?Ndio ninazo mkuu. Ndio navaa hadi leo.
Sawa ila usiongee uongo sasa kwamba unazo ambazo hazipaukiKwa kiasi Fulani upo sahihi boss hata mm nimevaa Sana kadeti zinazopauka, kupauka au kutopauka inategemea na kadeti husika ilijumuliwa kwa Bei gani,..najua ni ngumu kuamini Ila zipo kadeti ambazo hazipauki kabisa Bei yake ipo juu wengi huwa hatupo tayari kuilipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei Sana hiyo mkuu kumbuka Wewe una nunua elfu 9au 10 Bei ya Jumla unatupiga SanaNi 25,000 mkuu.
Vinegar ni acetic acidUngeniambia zamani ningekupa solution,unapofua mwagiamo vinegar kiasi,haitapauka kwa uharaka huo