Tunauza na Kubandika WALLPAPERS

Tunauza na Kubandika WALLPAPERS

muuza ugoro

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
334
Reaction score
61
Tunauza na kubandika wallpapers majumbani, ofisini, cafè, dukani, saloon, etc wallpaper zetu ni za materials za hali ya juu (grade 1) ngumu ambazo zinakaa miaka 8 na kuendelea.

Tuna design nyingi na mafundi walio wazoefu kwa kazi ya kubandika bei ni nafuu mno mpaka tunashangaa unakosaj sasa acha na rangi amia kwenye wallpaper uweze pata mwonekano mzuri wa nyumba yako

Namba zetu ni 0715490570 tupo Ubungo riverside Facebook na insta page; perfect delight wallpapers

Wasiliana kwa simu jamani, comment zaweza chelewa kujibiwa.
 
Hapa ndo Mtanzania ananiacha hoi....

Unashindwaje kuweka bei hapa? Ni kuhusu Drugs?
Umejuaje kama mleta mada ni mtanzania?

Au unadhani mimi ndo mleta mada?
 
Tunauza na kubandika wallpapers majumbani, ofisini, cafè, dukani, saloon, etc.
Wallpaper zetu ni za materials za hali ya juu (grade 1) ngumu ambazo zinakaa miaka 8 na kuendelea.
Tuna design nyingi na mafundi walio wazoefu kwa kazi ya kubandika.
Bei ni nafuu mno mpaka tunashangaa unakosaj sasa.
Acha na rangi amia kwenye wallpaper uweze pata mwonekano mzuri wa nyumba yako

Namba zetu ni 0715490570
Tupo Ubungo riverside
Facebook na insta page; perfect delight wallpapers

Wasiliana kwa simu jamani, comment zaweza chelewa kujibiwa.
Hivi ukuta unahitaji maandalizi gani kabla ya kuweka wallpaper? Na wallpaper SQM moja bei gani?
 
Wabongo cjui Nani katuloga...tangazo hadharani ukiuliza bei njoo PM what for????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom