Tunauza Mbao na mabati

ELIUD KADUMA

New Member
Joined
Jul 23, 2016
Posts
4
Reaction score
4
Tunauza mbao treated na mabati bira Kwa bei nafuu Sana

Pia unapata ushauri kupata matokeo Bora ya purpling na maezeko yenye muonekano bomba

Tunapatikana Dar es salaam. Buguruni.

Wasiliana na singe ltd
0652079900.
 
Tunauza mbao na mabati ya rangi aina mbali mbali bei nafuu kabisa hapa Dar es salaam.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi WhatsApp no.0652079900

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbao 2x4 bei gani kwa foot?
Mabati ya simba dumu ft8 by ft3
 
Tirirka Kuvutia Wateja
Weka Aina Ya Bati Na Bei, Pia Bidhaa Nyingine Mlizonazo
 
Jipatie mabati kwa bei nafuu kupitia law wakala wa mabati ya Alaf na Sunshare
Napatikana Dar es salaam,Buguruni. Mikoani unaagiziwa kupitia kampuni ya usafirishaji cargo
Karibuni contact 0652079900
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…