kijana weka japo picha na bei ya kukadiria si unajua wengine kama ss ni wadau sana mm n nikitaka mapazia mitumba napiga ndefu mpaka mazesnse pale kuna wadau kibao kazi zao kukata mapazia usihau kule tandika kila siku wanakata mashuka kasoro jumapili basi jaribu kutishawishi kwa bei nzuri na picha pili karume ni kubwa braza tupe ramani sahihi tufike hapo achana na mambo ya simu