Tunauza mashine za kazi

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Tunatengeneza na kuuza mashine za kuchoma chuma (weliding). Pia za kuchaji betri za magari.

Kama unataka kutengeneza fenicha za chuma kama milango, mageti, vitanda n.k
Au unataka kwa ajili ya gereji usisite kuwasiliana nasi, tutakuwezesha kirahisi mno kwa bei kuanzia 300,000/- tu!

Mashine zetu zipo zinazotumia umeme wa kawaida (AC) na umeme wa DC kwa ajili ya kuchoma alluminium.

Tunapatikana DSM

0713 322 856

Karibuni wote, mikoani tunasafirisha.View attachment 2047746View attachment 2047747View attachment 2047748View attachment 2047749View attachment 2047750View attachment 2047751
 
Nahitaji inayo chaji betri mdogo 12-15N. Yenye uwezo wa kuchaji kuanzia betri 20-100. kwa mkupuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…