Tunauza mashine ya kupimia DNA

Tunauza mashine ya kupimia DNA

Tarehe nane sio mbali mrudi shule tumechoka..kha!!
Sio kosa lake
f415b595eccdad6e331ffb1170caa067.jpg
 
Doh! Toba yarabi!
Kuna mambo mengine sio ya masikhara mkuu. Hii inaweza kuleta mtafaruku katika jamii yetu na ndoa nyingi kuvunjika. Ni kama Ray C alivyopendekeza ya kwamba Mh. Rais apitishe sheria kama ya nchi za kiarabu marufuku ya mtu kuwa na mpenzi au uhusiano wa mapenzi na mtu ambaye sio mke au mume wake. Hii kwa nchi yetu hapa asilimia 92 ya wanaume tutaishia Ukonga (magereza) kutokana na mfumo wetu wa maisha na tamaduni zilivyo.
Huko Uarabuni wao wanaruhusiwa kuoa wanawake mpaka wanne.
Kwa hili la DNA machine sikuungi mkono mkuu. Acha tulee na kutunza familia.
 
Nafurahi kuona bado kuna watanzania tena vijana wana mawazo kama hayo yenu. Unahisi bado unahitaji kukua humu tumia akili yako kulichambua jambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom