Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

kwadilo

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
756
893
Salaam,
Kiwanja kipo Bunju B (upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo)
kipo karibu na nyumba za TBA
Kina ukubwa wa sqm 1628
Kipo sehemu tambarare (angalia picha chini)
Kiwanja kina hati Maliki ya eneo.
Bei : 35m
For more info
For only serious client

ATTACH=full]931232[/ATTACH]View attachment 931236View attachment 931237
 
Mkuu mimi nna milioni 25 cash tufanye business.
Terms and condition.....ntaandikishiana na muuzaji pia na wewe Tuta andikishana separately. Ikiwa kuna utapeli nakushtaki nikusweke ndani.
 
Inaonekana wewe ni mtu unaemcha Mungu. Basi nitakutafuta uniuzie hicho kiwanja. Nikinunua kitu kwa mtu anayemcha Mungu huwa ninakuwa na amani.
 
Oh pole. Kama umekwisha kiuza kiwanja mimi sio Mwana. Na kama ni vile viwanja vya miradi hamna kilichofikia milioni kumi. Ni ushauri tu I wish you all the best. Angalia usije uza kwa Tsh Milioni 10. Chukua tahadhari sasa hivi!
 
Oh pole. Kama umekwisha kiuza kiwanja mimi sio Mwana. Na kama ni vile viwanja vya miradi hamna kilichofikia milioni kumi. Ni ushauri tu I wish you all the best. Angalia usije uza kwa Tsh Milioni 10. Chukua tahadhari sasa hivi!
Mkuu viwanja bunju B Huwezi pata chini ya ml 30 bro angu kanunua karibu na T B A tena kalia sana ndo kapata kwa 30 na hapo ni mwaka juzi
 
Salaam,
Kiwanja kinauzwa kipo GOBA center njia inayoenda makongo juu. (Karibu na kantina garden)
Kutoka goba center mpaka kwenye KIWANJA ni umbali wa meter 400-500
Kiwanja ni cha tatu kutoka barabara ya lami.
MAELEZO YA KIWANJA
kiwanja kina ukubwa wa meter 35 kwa 35
(Sqm 1225)
Kiwanja kina mwinuko kidogo (kulingana na geografia ya GOBA ilivyo)
Kiwanja kipo karibu na barabara ya lami.
KIWANJA hakijapimwa ila zoezi la urasimishaji makazi umeanza/unaendelea.

OFFER/ASKING PRICE: 28M (neg)
Contact: 0756 832833
 
Sawa, ila kwa bei hiyo hupati mtu. Viwanja vimeshuka sna bei. Tatizo ni tamaa yenu nyinyi madalali
Kila mtu anauza kwasababu zake, na pia huwezi kumpangia mtu bei kwenye Mali yake na akiona inamlipa atauza hata 10m.
 
Nilikua kimya nisikujibu lkn umeharibu fani yangu ya hesab ngoja nijib.
Kama ukiongeza bei ya juu mkija mkikaa chini na 5% ya hiyo bei yajuu nayo itakua pesa ya juu. Hivyo muuzaji atafaidika na wewe agent
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…