Mikito Mikito
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 183
- 1,157
Ya mwaka huu tena ya songea
Ayo ya songea yanakipi Cha ajabu labda?Ya mwaka huu tena ya songea
Ni mahindi mazuri kushinda yote tanzania yanatoa unga safi na mweupe kande zake ni nzuri ni mahindi bora sanaAyo ya songea yanakipi Cha ajabu labda?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Mnafanya delivery mm niko SinzaMAHINDI
Kilo 1 Tsh 900
SEMBE NA DONA
Kilo 5 Tsh 6000=/
Kilo 10 Tsh 12000=/
Kilo 25 Tsh 26000=/
PUMBA
Debe 1 Tsh 3000=/
Debe 7 Tsh 16000=/
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU. MAWASILIANO KWA BIASHARA AU MAELEZO 0783231177
KARIBUNI SANA
Asanteni
kwa bei hiyo hapana labda km unachukua mzigo mwingi na sijajua unahitaji nini mahindi sembe dona au pumba?
inawezekana kila sehemu na bei zake kutokana na uhitaji huku debe ni 3000 ndoo moja kubwa debe 7 ndio 16000 ndoo kubwa 7