Tunauza kuku wa kienyeji

Tunauza kuku wa kienyeji

Claudio Mpili

Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
22
Reaction score
5
Pata Kuku wa kienyeji (1).png
 
Attachments

  • 26733423_2047716315507032_8808447788751882098_n-1.png
    26733423_2047716315507032_8808447788751882098_n-1.png
    132.4 KB · Views: 52
Sifa ya kuku wa kienyeji ni kujitafutia chakula wenyewe, je hawa vipi? Kama ndio mimi nawataka
 
Sifa ya kuku wa kienyeji ni kujitafutia chakula wenyewe, je hawa vipi? Kama ndio mimi nawataka
kabisa bosi wangu hawa kuku ni wapambanaji na hiyo sifa wanayo bila shaka. Naomba ununue ujihakikishie mwnywe 😀
 
Sifa ya kuku wa kienyeji ni kujitafutia chakula wenyewe, je hawa vipi? Kama ndio mimi nawataka

Kuku wa hivyo hawapo nani atathubutu kufuga hao kibiashara?..hao ni chotara tu wanaokuzwa kwa vyakula vyenye chemicals tu.. kufuga kienyeji kibiashara sio mchezo na hakulipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom