Habari zenu nina kuku aina ya tanbro chotara nauza wakiwa na miezi 2 tayari chanjo zote nishapiga bei kila moja ni sh 8000 napatikana Dar es Salaam maeneo ya Tabata Mawenzi
8000 napata broiler na kilo ya mchele ni kula kwa kwenda mbele, lazima nitembee kifua mbele , reli tunajenga kwa pesa zetu wenyewe pamoja na sitigilas.