Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Ni kawaida kwa wanyama kama usipojua tabia zao kwani huyo paka ni jike hivyo mtafutie dume haraka au waruhusu paka wengine waingie ndani ya nyumba yako
Hivi vyakula vya kisasa vya kuku vinavyochanganywa na viagra ni hatareeee......
jogoo fundi huyo habagui hachagui,,,.mfugaji take care
He! Unamhitaji akufanyie nini??namuhitaji uyo jogoo
He! Unamhitaji akufanyie nini??
He! Unamhitaji akufanyie nini??
Ha haa haaa ....... labda uendenae faragha kwani anaweza akashindwa kukueleza hapa!
kwani umepanga uuze kwa lengo gani