DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
Wasafi hawana mchanga
Siyo wachachu kama uliyowazoea waliokaa zaidi ya mwezi
Wakubwa
Huitaji kuwaosha zaidi ya mara moja
Kwanini mkuu
Ahsante kwa ushauri mkuu.Kamilisha tangazo mkuu kwa kuweka bei aidha kwa kilo ama gunia na mahali wanapopatikana
Mimi siomnunuzi sema nimetoa wazo ili kuboresha tangazo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasafi hawana mchanga
Siyo wachachu kama uliyowazoea waliokaa zaidi ya mwezi
Wakubwa
Huitaji kuwaosha zaidi ya mara moja
Ndiyo mkuu ila tunatuma kuanzia kilo 40Kilo moja 5500
Ungesema hivo mkuu maana 5500 wala dagaa wengi hawana nyota hiyo....Ndiyo mkuu ila tunatuma kuanzia kilo 40
Hakika tangazo litamfikiaMkuu kuna dogo mmoja huko kwa mitandao anatrend kwa sababu ya kula dagaa eti zinaongeza Akili.
😂
Kwa kuanzia ungeanza na hiyo familia.
Aya mkuuUngesema hivo mkuu maana 5500 wala dagaa wengi hawana nyota hiyo....
Tunauza kwa kilo na debe mkuuSado sh ngapi
Tunauza kwa kilo na debe mkuu[/QUOTE
Hivi debe bado lipo cku hz?!! Cjaliona cku nyingi!!Tunauza kwa kilo na debe mkuu
Mkuu mimi ni mmoja kati ya wapenzi wa dagaa kwa kuwa zinaongeza akili!! Ila sipendi ile midagaa yenye mchanga! Kuna dagaa wa bukoba ndo huwa nanunua, huwa wanaandika kabisa hawana mchanga na kweli hawana mchanga!! Kama kweli na wako hawana mchanga ebu nipe location ulipo kwa Dom nije kuchukua walau ka kilo kwanza ka kutest!!Kwa wale Wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo tunayofuraha kuwatangazia upatikanaji wa dagaa safi kutoka Mwanza.
Sifa za dagaa ni
>Wasafi hawana mchanga
>Siyo wachachu kama uliyowazoea waliokaa zaidi ya mwezi
>Wakubwa
>Huitaji kuwaosha zaidi ya mara moja
Kama utakuwa unahitaji utaweka order yako kwa kuwasiliana nasi kupitia namba yetu ya Whatsapp/Call/sms 0653458190
Wanapatikana kwa kilo na kwa ujazo wa magunia namaanisha kama utahitaji tukuuzie kwa kupima kilo au kwa ujazo wa gunia vyovyote utakavyopenda.
Bei kwa kilo ni 5,500
Bei kwa debe ni 18000
TUNAPATIKANA DODOMA NA MWANZA
Dodoma mnapatikana wapi tupite tuoneTUNAPATIKANA DODOMA NA MWANZA
Akijibu nistueNi wale walio kaangwa?