Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
Diamond, siyo Mpoki.Hapo nimewatambua Mpoki na Joti tu, hao wengine ni akina nani?
Dah maisha ndugu,mpoki naona kama alikuwa kwenye dozi yetu ilee ya watengwaNilvo muona mpok nmewaza meng.....!!!!
Hakuna diamond hapo bwanaaa..Diamond, siyo Mpoki.
Pamba za kiumeni enzi zetu,hakuna kujibana hata nyeti zilikuwa na Uhuru wa kwenda kushoto na kuliana suruali pana pana aka mabugaluuππ
Polee, nenda kareboot halmashauri yako.Hakuna diamond hapo bwanaaa..
πππππΏPamba za kiumeni enzi zetu,hakuna kujibana hata nyeti zilikuwa na Uhuru wa kwenda kushoto na kulia