dolla 500Nahitaji kuwa na kiasi gani cha pesa kabla sijafika ofisini kwenu kupata scholarship
hawa wana kutafutia scholarship alafu wewe uta walipa wao zile pesa za scholaship kwa kuwa hao wafadhili hawadai kitu, hivyo wao wana tumia fursa...Hawa ni matapeli..waseme kwamba wao nima'agent wakuunganisha na vyuo vya nje sio scholarship
hawawezi na wakiweza/// hauto maliza shule...Je mnaweza kumpatia scholarship mtu anaetaka kusoma ndani ya nchi??
kama wangekuwa na uwezo wa kuwapa wanafunzi ufadhiri, wangeanza na hapa kwetu kwenye ada nafuu... sema wana taka kuingiza watu mkenge....Mnatoa Schorships ? Halafu Ofice zipo wapi ? Mwananyamala kwa Makoma ! Dah ! THIS IS A CONTRADICTION.Huwezi kuwa na uwezo wa kuwapa watu schorlaships halafu ofice ziwe huko uchochoroni kwa Makoma.