Habari! Pole kwakucheleweshewa majibuPrinting ya T-shirts na Kofia bei inakuwaje mzee
Habari! Pole kwakucheleweshewa majibu
Bei inategemea quantity na quality ya t-shirt na namna unavyo tamani muonekano wa t-shirt yako au kofia iwe.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi kupitia namba yetu.
0759413270
Naomba mfano wa hizo sickers.Bunner square meter 1 tsh 12000/= but inapungua meter zikiongezeka
Sticker A4 450/=
A3 900/=
Yeah taili ya gari... ukubwa ni tairi ya landcruiser 4x4Wheel cover ya taili mkuu?
Je' ukubwa wake ni size gan?
Bei yake kwa hiyo size ni Tsh 20,000 BossYeah taili ya gari... ukubwa ni tairi ya landcruiser 4x4
View attachment 2467124
Hapa tayari iko printed kuwekwa kwenye tairiYeah taili ya gari... ukubwa ni tairi ya landcruiser 4x4
View attachment 2467124