nickson1987
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 191
- 24
Hiyo interest 35% ni kwa mwaka? Na ni requirements gani mkopaji anatakiwa kuwa nazo. Eleza vizuri zaidi ukitoa details ili mtu anayekuja kukopa apate details siyo afike halafu iwe hujakamilisha hili na lile.Unahitaji MKOPO wa riba, dhamana ni kadi inayosoma jina lako, mkopo riba yake 35% ila gari unabaki nalo, tofauti na wengine piga simu 0692 946600 Kwa dar es salaam tu
Sent using Jamii Forums mobile app
nahitaji huo mkopo ila sina cm ntakutumia ujumbe mfupi natumia pcUnahitaji MKOPO wa riba, dhamana ni kadi inayosoma jina lako, mkopo riba yake 35% ila gari unabaki nalo, tofauti na wengine piga simu 0692 946600 Kwa dar es salaam tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wizi wa mchana.Unahitaji MKOPO wa riba, dhamana ni kadi inayosoma jina lako, mkopo riba yake 35% ila gari unabaki nalo, tofauti na wengine piga simu 0692 946600 Kwa dar es salaam tu
Sent using Jamii Forums mobile app
tatzo mashart yaan watu wanaoanza business wanaonewa sana kila m2 uwe n bank statement y mwaka mzm sasa kama m2 ndo anaanza apati mkopo wanapewa walioanza kitambo sio vzur hata wenyew wanahaki jmnWizi wa mchana.
Last Ichecked EFL wanatoza riba ya 16%
Hebu nenda EFA kawasikilize masharti yao kwanza kabla ya ku-generalise.tatzo mashart yaan watu wanaoanza business wanaonewa sana kila m2 uwe n bank statement y mwaka mzm sasa kama m2 ndo anaanza apati mkopo wanapewa walioanza kitambo sio vzur hata wenyew wanahaki jmn
Huo ni wizi wa mchana. Kuna kampuni nyingi za microfinance ambazo hutoza 16%.Unahitaji MKOPO wa riba, dhamana ni kadi inayosoma jina lako, mkopo riba yake 35% ila gari unabaki nalo, tofauti na wengine piga simu 0692 946600 Kwa dar es salaam tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh..35%?35% riba ni Kwa mwezi mfano 1,000,000/= unarudisha 1,350,000/= kwa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app