Gharama za ujenzi tunazigawa kwa phase 4,,Naomba maeleza hizo nyumba za bei nafuuu
mfano nyumba ya vyumba vitatu kimoja master, na choo kimoja kijitegemee , stoo, jiko, sebule, na ukumbi w kulia, mna jenga kwa bei gani, kiwanja ni kizuri tu hakina mabonde, shukran
2.6M?? Hebu rekebisha!Nyumba hii tumefanya kila kitu kuanzia michoro paka ilipofika hapa..tukiwa tumemaliza zoezi la kuweka Grill na zimeghalimu 2.6 M tu madirisha 22..View attachment 1705740
Nyumba hii nyinyi ndio mlichora ramani au nyie mnashughulika na grills tu, mbona hayo madirisha hamkuyaweka kwa line moja?Nyumba hii tumefanya kila kitu kuanzia michoro paka ilipofika hapa..tukiwa tumemaliza zoezi la kuweka Grill na zimeghalimu 2.6 M tu madirisha 22..View attachment 1705740
2.6 M serious au umekosea mkuu?Nyumba hii tumefanya kila kitu kuanzia michoro paka ilipofika hapa..tukiwa tumemaliza zoezi la kuweka Grill na zimeghalimu 2.6 M tu madirisha 22..View attachment 1705740
Kila kitu kimefanywa na sisi paka ilipofika hapo....Ramani,Vibari vya ujenzi, Ujenzi wote paka ilipofika hapo...Paka sasa tumeishia kwenye Grills na sio muda tutaingia kwenye skimming...Nyumba hii nyinyi ndio mlichora ramani au nyie mnashughulika na grills tu, mbona hayo madirisha hamkuyaweka kwa line moja?View attachment 1705872
View attachment 1705874