Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 294
- 313
Shukrani bossNice
Fundi Mkuu umetisha sanaWakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
Mchawi bei tu....ila kazi inavutiaWakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
Boss wangu bei zetu zipo chini sanaMchawi bei tu....ila kazi inavutia
Hongera sana kazi ni nzuriBoss wangu bei zetu zipo chini sana
Shukrani bossHongera sana kazi ni nzuri
Bei inategemea na unachokitaka na material unayohitaji boss kitu kimoja kunaweza kuwa na bei hata tatu kulinganga na material unayohitaji..Weka bei watengenezaji ni wengi mbona
Unapatikana wapi?Wakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
Nipo dar boss wanguUnapatikana wapi?
Kama zipo chini mnapata faida?Boss wangu bei zetu zipo chini sana
Faida napata kidgo kidogo boss wangu .. .. maana kidgo kidogo zikiwa nyingi napata faida kubwaKama zipo chini mnapata faida?
Ya futi 5 laki 4 na 80 boss wangShowcase futi 5 ya kuhamishika ya kunyamwezi bei gn? Zingatia mbao ngum ya kudum