Tunatafuta Shule ya kununua. Sifa.
1. Iwe ina usajili.
2. Iwe DSM
3. Ekari tatu
4. Uwanjwa wa kuchezea.
Kama unamfahamu mmiliki au taasisi inayouza shule tuwasiliane kwa namba 0753502373 .
Ipo shule Ina secondary na primary,madarasa ya kutosha na ni ya bweni kwa boy's and girls.Ina ekari zaidi ya 20.Maeneo inapopatikana ni mbagala chamazi.Kama utakua interested pls niPM kwa maelezo zaidi.
Tunatafuta Shule ya kununua. Sifa.
1. Iwe ina usajili.
2. Iwe DSM
3. Ekari tatu
4. Uwanjwa wa kuchezea.
Kama unamfahamu mmiliki au taasisi inayouza shule tuwasiliane kwa namba 0753502373 .