Tunatafuta hela kuliko kujenga nchi

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
242
431
Natumaini hamjambo wananzengo.Hii kitu inaniwazisha sana.Nitashangaa sana kama kuna mtu anafikiria kujenga hii nchi.Nani anajifunza kujenga madaraja,mabarabara& maghorofa au mpaka tuwaite wachina?Nani anajifunza uvumbuzi mpya,nani nani anatafiti kilimo&uvuvi.Nani atatuchimbia madini yetu.

Nani anajichosha kufanya utafiti wa magonjwa na Sayansi kwenye umeme,Sumaku,kani au tukikariri darasani inatosha,nauliza tena nani anaumiza kichwa kwa ajili ya hii nchi.Nani anavumbua mbinu bora za kibiashara.Naona kila mtu ana njaa kali.

Huko waliko bila shaka wazungu wanatucheka kila siku.Inasikitisha sana.

Machinga anatafuta hela bila kujali umuhimu wa kodi.
Taasisi nyingi zina watumishi wanaotoa huduma kwa njia ya rushwa.Yani wana njaa sana.
Wakiidhinisha pesa za miradi wanapiga na asilimia zao
Wanafunzi tangu wakiwa wadogo waliambiwa "soma hiki kinalipa sana."Watakariri miaka mingi wapate hio kazi
Wafanyabiashara ni wakwepa kodi.
Mabosi wanataka faida kubwa kwa kunyonya vibarua&wafanyakazi wa ndani.
Wapinzani wanalilia posho, malimbikizo& michango ya watanzania.
Watu wanakimbilia kwenye blogging & you tube channel,huku hakuna kodi
Mapenzi&mahusiano ni "poverty alleviation schemes".Watu wanawaza mizinga tu.
Madereva wa "transit goods" wanawaibia mabosi wao
Vibaka wamejazana mitaani kupora mali za watu.Ujambazi ndo kabisa.
Kiujumla kila mtu kwa eneo alilopo anabuni njia za kuiba.

Tunakuwa 'brain washed' kuwa kwa staili hii ndo kujenga nchi,ila ni uongo mtupu.
 
Natumaini hamjambo wananzengo.Hii kitu inaniwazisha sana.Nitashangaa sana kama kuna mtu anafikiria kujenga hii nchi.Nani anajifunza kujenga madaraja,mabarabara& maghorofa au mpaka tuwaite wachina?Nani anajifunza uvumbuzi mpya,nani nani anatafiti kilimo&uvuvi.Nani atatuchimbia madini yetu.Nani anajichosha kufanya utafiti wa magonjwa na Sayansi kwenye umeme,Sumaku,kani au tukikariri darasani inatosha,nauliza tena nani
Kama unafikiria hivi vitu vinatokea Tanzania peke yake, basi utakua umejifunga sana kifikra. Kwenye developed countries tu rushwa, utapeli, unyonyaji wa hali ya juu, upigaji kwny miradi, mahusiano ya "poverty alleviation" as you said it, modern day slavery, and the list goes on and on.

Sisi ni binadamu na trait common kwetu ni being selfish and greedy, kwaio ukiamua kua chachu ya mabadiliko kwny jamii yako usiwe na haraka kulaumu bali anza kubadilika ww na kizazi chako. Hamtabadili mwenendo wa maisha ya watu nchi nzima ila mtaishi kwa misingi yenu. Na ndo kitu cha muhimu kwenye maisha in my opinion.
 
Hakuna cha muafrika wala muarabu wala muhindi wala mmarekani wala mtu wa ulaya au bara la asia, linapokuja swala la ubinadamu kila mtu anajiangalia yeye kwanza alafu kisha familia na kiduchu sana marafiki. We are all tuned to look out for number one, ni human nature tokea enzi na enzi.
 
Natumaini hamjambo wananzengo.Hii kitu inaniwazisha sana.Nitashangaa sana kama kuna mtu anafikiria kujenga hii nchi.Nani anajifunza kujenga madaraja,mabarabara& maghorofa au mpaka tuwaite wachina?Nani anajifunza uvumbuzi mpya,nani nani anatafiti kilimo&uvuvi.Nani atatuchimbia madini yetu.Nani anajichosha kufanya utafiti wa magonjwa na Sayansi kwenye umeme,Sumaku,kani au tukikariri darasani inatosha,nauliza tena nani anaumiza kichwa kwa ajili ya hii nchi.Nani anavumbua mbinu bora za kibiashara.Naona kila mtu ana njaa kali.
Huko waliko bila shaka wazungu wanatucheka kila siku.Inasikitisha sana.

Machinga anatafuta hela bila kujali umuhimu wa kodi.
Taasisi nyingi zina watumishi wanaotoa huduma kwa njia ya rushwa.Yani wana njaa sana.
Wakiidhinisha pesa za miradi wanapiga na asilimia zao
Wanafunzi tangu wakiwa wadogo waliambiwa "soma hiki kinalipa sana."Watakariri miaka mingi wapate hio kazi
Wafanyabiashara ni wakwepa kodi.
Mabosi wanataka faida kubwa kwa kunyonya vibarua&wafanyakazi wa ndani.
Wapinzani wanalilia posho, malimbikizo& michango ya watanzania.
Watu wanakimbilia kwenye blogging & you tube channel,huku hakuna kodi
Mapenzi&mahusiano ni "poverty alleviation schemes".Watu wanawaza mizinga tu.
Madereva wa "transit goods" wanawaibia mabosi wao
Vibaka wamejazana mitaani kupora mali za watu.Ujambazi ndo kabisa.
Kiujumla kila mtu kwa eneo alilopo anabuni njia za kuiba.

Tunakuwa 'brain washed' kuwa kwa staili hii ndo kujenga nchi,ila ni uongo mtupu.
Mkuu hakuna positive hata moja katika hii nchi.
 
Back
Top Bottom