Tunashona Suits Aina zote kwa bei nafuu

Pirate of Carribean

Senior Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
117
Reaction score
194
Usipate tena shida ni wapi utapata Suit kali kulingana na mapendekezo yako, Karibu offisin tukushonee suit kaliii kwa gharama nafuu kwa ubora wa hali ya juu.

Tunashona suits, kaunda, Suruali za vitambaa, Makoti, Mashati, pia tunapokea order mbali mbali za sare.. kwa maelezo zaid tupigie simu 0629 982 464



 
Johnson & Johnson nao wanashona suti ya chanjo ya korona kwa bei nafuu. Sharti ni moja tu: uwe Mwafrika 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…